MRADI WA MIGOMBA AINA YA PHIA-Kitalu hiki kipo Kata ya Kitwe Wilaya ya Bukoba Vijijini.
Shamba la Migomba iliositawishwa na Mdau maeneo ya Kitwe Wilaya ya Bukoba vijijini
Migomba ni zao linalo itaji utunzaji sana kupalilia mara kwa mara ni sehemu mojakubwa, kutandaza nyasi kama inavyo onyesha hii picha ni chachu katika ustawishaji wa Migomba.
Mdau japo hakutaka jina lake litajwe humu ila amesema yeye ndiye mmiliki wa shamba hili.
Mdau baada ya Mavuna sasa anapeleka Ndizi zake sokoni.
Zao la Ndizi aina ya Phia.
Kushoto ni Ndg Novatus Rwechungura Nkwama picha ya pamoja na mkulima mwenye shamba zuri la migomba.
Bwana Nkwama yeye ni Katibu uchumi na fedha wa CCM wilaya ya Bukoba Vijijini.