Bukobawadau

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA DADA YETU MAUA RAMADHANI KWA YALIYOTOKEA

 Bukobawadau Blog tunakupa pole sana Da' Maua kwa yaliyotokea, Umelea mimba yako kwa mateso na kuugua mara kwa mara,umefika wakati wa kujifungua Mwenyezi Mungu akampenda kiumbe wake.
 Bi Hope katika kumfariji rafiki wake wa karibu Bi Maua pichani kulia.
Ndg na jamaa na mashost wa karibu na Bi Maua pichani,wameendelea kuonyesha upendo wa dhati kwa mwenzao na kumsababisha ajione kama hakuna lililomfika na huu ndio urafiki wa kweli.
   TIMU NZIMA YA MTANDAO WA BUKOBAWADAU  BLOG NUNAKUPA POLE DA'MAUA RAMADHANI TUPO PAMOJA!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau