CAMERA YETU KITAANI HII LEO 24/11/2012
Camera yetu kitaani tunakutana na Mdau Athmani, Mtata kutoka pande za Kamachumu maarufu kama 'Aibanga'
Kikubwa ni aina ya Uvaaji wake akiwa katupia 10% ya hatari, Koti lake mkononi,mbwembwe nyingi, na maneno ya hapa na pale.
Mikato yake kwa nyuma na anavyotembea.....upelekea watu kumshaanga.
Wadau wakimshangaa Athmani na manjonjo yake.
Akichukua kasi kuelekea anakokujua watu bado wanamfuatilia,tukio hili limetokea maeneo ya soko kuu mjini bukoba eneo linalozua sintofahamu,taflani na skendo kati ya wananchi , viongozi na wanasiasa.