Bukobawadau

SIKILIZA AUDIO WILFRED LWAKATARE,ANTHONY MBASSA,MAMA CONCHESTER NA MH.SAID ISSA MOHAMED

Bonyeza Kitufe cha Play Chini ya picha zinazofuata upate kumsikia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema,Wilfred Lwakatare akiongea katika mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika katika viwanja vya Uhuru Bukoba.
Utapata kumsikia Dk. Anthony Gervase Mbassa pichani Mbunge wa jimbo la Biharamulo magharibi (CHADEMA)katika audio iiliyopo  hapa chini.

Mbunge Conchester Rwamulaza pichani,Bonyeza kitufe cha play hapa chini kuwasikiliza 

  FANYA KUMSIKILIZA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA ZANZIBAR MH.SAID ISSA MOHAMED,BONYEZA KITUFE CHA PLAY HAPA CHINI Pichani ni Makamu mwenyekiti Chadema Zanzibar, Mh.Said Issa Mohamed akihutubia kwa kushusha aya za Quran.
Next Post Previous Post
Bukobawadau