KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU TA MARCO M KAHWA
Leo feb 27,2014 ni mwaka mmoja tangu umetutokami ,Tarehe ya leo ni siku ambayo hatuwezi
kuisahau kamwe. Ni siku ambayo ulituacha familia yako katika majonzi
makubwa sana. Ingawa hatukuoni, hatuongei na wewe, hatubadilishani
mawazo kama ilivyokuwa wakati wa uhai wako.
Sisi tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi. Mapenzi ya Allah Yatimizwe.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
Sisi tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi. Mapenzi ya Allah Yatimizwe.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN...