HARUSI YA BW.MARCEL MUTELANI NA BI MEKRINA MUTELANI YAFANA NDANI YA LINAS!!
Bi Harusi Mekrina Mutelani akivisha pete mme wake mpendwa BW. Marcel Mutelani.
Bwana Marcel akimvisha pete Mke wake mpendwa Bi Mekrina.
Kwa matukio ya namna hii na mengine BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
.Bwana Marcel Mutelani akidondosha wino wa kukiri kwamba alimaanisha alichokisema mara baada Ibada ya ndoa
Bi harusi akisaini cheti cha ndoa ,sipati picha wakati kitendo hiki, raha na bashasha ya Bwana Marcel ilikuwa vipi?
Muonekano wa Bi harusi wetu Bi Merkina Mutelani katika pozi.
Wanakabidhiwa vyeti vyao...'Sasa ni Bwana na Bibi Marcel Mutelani
Mashuhuda wa tukio zima.
Taswira mbalimbali kanisani
Wakifuatilia tukio la Ndoa hii kwa karibu
Pongezi kutoka kwa ndugu na jamaa ,hongera sana Bw. Marcel kwa kuamua kuishi pamoja na Merkina for the rest of their life 'Waitu wahiuka'!!
Awesome .
Matukio ya picha za kumbukumbu fukweni
muendelezo wa picha za kumbukumbu
Shukrani kubwa MATUNGWA Video Production kwa kutufikishia mtiririko mzima wa picha hizi.
Katika picha na Mama Mzazi wa Bwana Harusi
Maharusi hawa katika picha ya pozi maeneo ya mchangani,mara baada mara baada ya zoezi la picha za kumbukumbu,inafuatiwana sherehe kubwa iliyokusanya watu kibwena iliyofanyika katika Ukumbi wa Linas Night Club.
Maharusi wetu wanavyo meremeta ebye hatari!
Furaha ya ndoa jamani kusoma hamjui,hata picha hamwoni? She is mine ,hayo ni maneno ya Bw. Marcel Mutelani
Maswala ya boti kama tukio maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Mwasho wa Shughuli ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
Wifi zake Bi Makrina , wakiingia ukumbini .
Matukio ndani ya Ukumbi wa Linas kupitia Bukobawadau Blog picha kwa hisani ya Matungwa Video Pruduction
Kamati ya mapokezi .
Wahaya wanasema:;'Kimakune zaidi 'kwa nidhamu kubwa zaidi anaonekana Bi harusi akimvisha koti mme wake mpendwa.
Maharusi wakikata Keki wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Linas.
Maharusi wakirishana Keki.
Zawadi ya keki kwa upande wa Wazazi wa Bwana Harusi
Zawadi ya keki inatolewa kwa Dada wa Bwana Harusi .
Matukio mbalimbali kuhusiana na zoezi la Keki
Pongezi kutoka kwa Mama
Dada mtu katika utayari wa kupokea zawadi zake!
Matukio ya pichayakiendelea Ukumbini
Marafiki wa karibu wa Dada yake Bwana harusi ambaye ndeye muandaaji wa shughuli ya harusi hii wakimtunuku zawadi mbalimbali kama inavyo onekana pichani
Shangwe,burudani,furaha kama kawaida.
Pongezi kwa Mr & Mrs Marcel Mutelani.
Waalikwa wakiendelea kutoa pongezi kwa maharusi,Mr & Mrs Marcel Mutelani
Shukrani Dada kwa ufanisi
Mwisho Muda wa Maharusi wetu wanatufungulia Muziki Rasmi.