HIZI NI TWEETS ZA MTOTO WA MAMA ANNA TIBAIJUKA!!
KIKWETE:Waziri wa ardhi, tumekaa nae na kuzungumza. Pesa hizi ni za nini na kwa
ajili gani na amesema ni za shule, mengi yameelezwa. Maswali makubwa kwa
nini hazijaenda shuleni moja kwa moja na zikawa kwa jina lake, akasema
ndo masharti ya mtoaji, tumelitafakari sana na tumeona msingi mkubwa wa
kimaadili kuhusu kupokea hizi pesa,tumeshazungumza nae na tumemwambia
atupe nafasi tumteue mwingine