MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE DEONICE NA CHRISTINA BYEILANGO DEC 22,2014
Matukio katika Misa takatifu ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Dionice na Mkewe Christina Byeilango iliyofanyika siku ya Jana Jumatatu Dec 22,2014 Kijijini Kishanda Muleba.Baada ya misa kukafatia na chakula cha mchana (lunch) hapo hapo nyumbani
Marehemu Mzee Dionece na Christina Byeilango enzi za uhai wao pichani.
Ni Majira ya saa tano Asubuhi ,Ibada ya misa takatifu ikiendelea nyumbani Kijijini Kishanda
Taswira mbalimbali wakati Misa ikiendelea.
Waumini wa Kikatoliki walioweza kushiriki Ibada ya Misa hiyo.
MATUKIO KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE DEONICE NA CHRISTINA BYEILANGO DEC 22,2014
Ndugu wafimilia pichani.
Sehemu ya Wananchi katika Ibada ya misa ya kumbukumbu ya Marehemu Deonice na Christina Byeilembo, iliyofanyika Jana kijijini Kishanda-Muleba
Mr. Lambart na Mr Rusenene pamoja na waumini wenine wakika katika misa ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Deonice na Christina Byeilango
Ndugu Bashir Juma Katela pichani katikati
Dada Puddy na Mama Chalytina Angelo pichani wakishiriki Misa maalum ya Kumbukumbu ya Marehemu Mzee Deonice na Bi Christina Byeilango.
Wanakwaya wakiwajibika .
Ukafika wasaa watu wote kushiriki Chakula baada ya Shughuli ya Misa ya Ibada ya kumbukumbu.
Wakipata huduma ya Chakula katika utaratibu mzuri
Utayari katika mstari kuelekea kupata msosi
Wanafamilia wakifuatilia utaratibu mzima kwa ukaribu
Hakika kimeandaliwa chakula kizuri pamoja na vinywaji
Utaratibu wa kutoa huduma ya Chakula ukiendelea
Watu wakiendelea kupata Chakula
Sehemu ya Wajukuu.
Kwa mbaliiii'Katulebe'!
Taswira mbalimbali eneo la tukio.
MUHIMU :BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kutoka maeneo ya Kabulala ndani ya Kata ya Kishanda anaonekana Mzee pichani
Mdau Jesca pichani
Wanafamilia wakiteta jambo
Wageni wakiendelea kukaribishwa.
Katika hili na lile
Wamaji sawa, wasoda sawa..hii yote ni kuhakikisha hakilibiki kitu.
Moja moto moja baridi
Mambo yanaendelea ...
Waalikwa kutoka maeneo mbalimbali wakifurahia Kinywaji.
Wanaonekana Sehemu ya Waalikwa katika shughuli hii wakichaua kile kinachostahili kwao.
Kwa Upendo mkubwa kutoka kwa Wadau pale wanapokutana na Mwanalibeneke wa Bukobawadau
Mr. Datus akisalimiana na Waalikwa waliofika kuungano nao .
Wageni wanaongozana kuelekea Kibandani, ilipofanyika Shughuli ya Ibada ya Misa takatifu ya kumbukumbu ya Marehemu Deonice na Christina Byeilango
Familia ya Mr Lambart hayupo pichani wakipata picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Ukodak na Bukobawadau Blog ukiendelea kuchukua kasi
Familia ya Mzee Tibaigana wameweza kufikana kuungana na familia hii .
Camera yetu ikicheck na wadau
Wadau wakionyesha furaha yao katika Ukodak.
Kushoto ni Mr. Mshumba Mchunguzi katika shughuli yake ya Uratibu.
Wadau wakibadilishana mawazo.
Kwa matukio zaidi ya picha 200 Ingia hapa>>Bukobawadau Entertainment Media
Marehemu Mzee Dionece na Christina Byeilango enzi za uhai wao pichani.
Ilikuwa ni huzuni na majonzi makubwa katika familia ya Mzee Dionece na Christina Byeilango tangu siku walipo wapoteza wazazi wao kwa nyakati tofauti .
Familia inawakumbuka sana, Watoto wote, Wajukuu,Ndugu, Jamaa, Majirani na Marafiki wa karibu wanawakumbuka kila mmoja kwa namna ya pekee.
Kwa jina la Bwana wetu
Yesu Kristo aliye hai. Tukio linalo endelea ni misa takatifu iliyoandaliwa na Familia ya Marehemu Byeilango kwa ajili ya kumbukumbu ya Wazazi wao wapendwa .Ni Majira ya saa tano Asubuhi ,Ibada ya misa takatifu ikiendelea nyumbani Kijijini Kishanda
Taswira mbalimbali wakati Misa ikiendelea.
Waumini wa Kikatoliki walioweza kushiriki Ibada ya Misa hiyo.
MATUKIO KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE DEONICE NA CHRISTINA BYEILANGO DEC 22,2014
Ndugu wafimilia pichani.
Sehemu ya Wananchi katika Ibada ya misa ya kumbukumbu ya Marehemu Deonice na Christina Byeilembo, iliyofanyika Jana kijijini Kishanda-Muleba
Mr. Lambart na Mr Rusenene pamoja na waumini wenine wakika katika misa ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Deonice na Christina Byeilango
Ndugu Bashir Juma Katela pichani katikati
Dada Puddy na Mama Chalytina Angelo pichani wakishiriki Misa maalum ya Kumbukumbu ya Marehemu Mzee Deonice na Bi Christina Byeilango.
Wanakwaya wakiwajibika .
Ukafika wasaa watu wote kushiriki Chakula baada ya Shughuli ya Misa ya Ibada ya kumbukumbu.
Wakipata huduma ya Chakula katika utaratibu mzuri
Utayari katika mstari kuelekea kupata msosi
Wanafamilia wakifuatilia utaratibu mzima kwa ukaribu
Hakika kimeandaliwa chakula kizuri pamoja na vinywaji
Utaratibu wa kutoa huduma ya Chakula ukiendelea
Watu wakiendelea kupata Chakula
Sehemu ya Wajukuu.
Kwa mbaliiii'Katulebe'!
Taswira mbalimbali eneo la tukio.
MUHIMU :BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kutoka maeneo ya Kabulala ndani ya Kata ya Kishanda anaonekana Mzee pichani
Mdau Jesca pichani
Wanafamilia wakiteta jambo
Wageni wakiendelea kukaribishwa.
Katika hili na lile
Wamaji sawa, wasoda sawa..hii yote ni kuhakikisha hakilibiki kitu.
Moja moto moja baridi
Mambo yanaendelea ...
Waalikwa kutoka maeneo mbalimbali wakifurahia Kinywaji.
Wanaonekana Sehemu ya Waalikwa katika shughuli hii wakichaua kile kinachostahili kwao.
Kwa Upendo mkubwa kutoka kwa Wadau pale wanapokutana na Mwanalibeneke wa Bukobawadau
Mr. Datus akisalimiana na Waalikwa waliofika kuungano nao .
Wageni wanaongozana kuelekea Kibandani, ilipofanyika Shughuli ya Ibada ya Misa takatifu ya kumbukumbu ya Marehemu Deonice na Christina Byeilango
Familia ya Mr Lambart hayupo pichani wakipata picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Ukodak na Bukobawadau Blog ukiendelea kuchukua kasi
Familia ya Mzee Tibaigana wameweza kufikana kuungana na familia hii .
Camera yetu ikicheck na wadau
Wadau wakionyesha furaha yao katika Ukodak.
Kushoto ni Mr. Mshumba Mchunguzi katika shughuli yake ya Uratibu.
Wadau wakibadilishana mawazo.
Kwa matukio zaidi ya picha 200 Ingia hapa>>Bukobawadau Entertainment Media
Roho ya milele uwape eeh Bwana na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa kwa amani. Amen.!!