MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JAJI FREDERICK WAREMA AJIUZURU!
Mwanasheria mkuu wa serikali, jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi
yake hiyo kuanzia leo, jumanne, Desemba 16, 2014 na rais wa jamhuri ya
muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi
hilo la kujiuzulu.
Taarifa kutoka ikulu zimesema katika barua yake kwa mhe. Rais Kikwete, jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe.Rais Kikwete amemshukuru jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu