HARAKATI ZA KUTAFUTA KAZI
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PARTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.
Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PARTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.