Bukobawadau

Kagondo hospitali kumbe sawa na Rubya,Mgana na Ndolage..!!!!

Kagera ni miongoni mwa mikoa iliobahatika kupata maendeleo makubwa kiuchumi na kijamii kabla na baada ya uhuru.
hii ote ni kutokana na wamisionari wa madhehebu ya Kilotheri na Wakatoliki walio ingia kagera miaka ya 1880 na kuazisha shule za msingi,sekondari na vyuo vya ualimu.

Baadhi ya shule za sekondari zilizo anzishwa na wamisionarini st.Thomas More College kwa sasa ni Ihungo na Nyakato.walifungua pia Hospitali ambazo ni Rubya,Kagondo na Ndolage zote za wilaya ya Mleba.

Pia Mugana wilayani Misenyi,naNyakahanga wilayani Biharamulo,Isingiro iliopo wilayani karagwe na Murugwanza wilayani Ngara.

Ni kanisa la wakatoliki lilipo Kagondo,ndani ya jimbo la kaskazini Mleba.Kanisa hili lilijengwa na wamisiomari mwanzoni mwa 1880.Ikiwa ni pamoja na shule na hospitali.by mc.
Next Post Previous Post
Bukobawadau