Bukobawadau

Kishindo Cha ajari tena Bukoba !!!!

Hivi ndivyo inavyo onekana Picha ya gari baada ya ajari na kumnusuru Ndg Innocent.Ambaye yupo hospitali ya Mkoa kwa matibabu na hari yake inaendelea vizuri saana.Chanzo cha ajari mpaka sasa uchunguzi bado unaendelea.

Umati wa watu ukishuhudia gari lililo pata ajari na kudondoka darajani maeneo ya SHABLIDN (uganda road)ajari imetokea asubuhi ya leo majira ya 12:35 yaani saa moja kasoro dakika ishirini na tano.Eneo hili lipo jirani kabisa na Bakhita,na ni mita 50 kutoka hospitali ya mkoa .picha na habari by Mc.
Mwonekano wa majengo ya Bakhita.Jirani na sehemu ilipo tokea ajari.
Next Post Previous Post
Bukobawadau