Mh.Shukuru Kawambwa azuru bukoba
Mh.Shukuru Kawambwa(MB)Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi.Wakati wa ziara yake ya kuzindua majengo ya Chuo kikuu Huria mkoani Kagera Bukoba Tanzania
Pichani ni Ndgu Msharafu mkazi wa Kashai Bukoba akikabidhiwa cheti cha kufuzu masomo ya sheria na Mh.Shukuru Kawambwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi.