Bukobawadau

PKF TANZANIA YAITUNDIKA NMB BAO 2 KWA 1

Ilikua mechi ya kirafiki kati ya pkf tanzania na nmb bank katika viwanja vya karume jijini dar es salaam. Pkf iliifunga nmb kwa jumla ya mabao 2 kwa 1.
kutoka kushoto ni managing partner wa pkf tanzania, mrs. Sujata jaffer. Kulia ni Mr. Waziri barnaba, chief of finance nmb bank.


walio simama kutoka kulia ni Crispin, Torres, Herman, Tumsifu, Masanja, Kenneth, Julius, ZZ, walio chuchumaa... Kutoka kushoto,ni Nkingwa, Gervas, John, Brian na Amanat (captain)Jackson na rayson hawapo pichani.
Wafanyakzi wa PKF Tanzania katika picha ya pamoja nao walikuepo kuishangilia timu yao
Wadau wa soka nao walikuepo kufuatilia nani ataibuka kidedea.lakini mwisho wa siku PKF wakamcharaza bao NMB 2 kwa 1
Picha ya pamoja Wazee wa kazi PKF TANZANIA na NMB

Wachezaji wa tim ya PKF Tanzania wakifanya mazoezi kabla ya mechi,vijana walikua wamejipanga vizuri tayari kuwakabili NMB

Mshambuliaji wa timu ya NMB akijaribu kuitoka beki ya PKF tanzania bila mafanikio. PKF Tanzania iliitundika NMB bao 2 kwa 1
Baada ya mechi
Office za PKF Tanzania katika jengo la Amani Place jijini Dar es salaam
Next Post Previous Post
Bukobawadau