Camera yetu mchana huu
Pichani ni Ndg Follo,Mkurugenzi wa Optaty Shop akiwa ofisini kwake anaonekana akitafakari kitu kama alivyo kutwa na camera yetu.
Nje ya soko kuu mjini bukoba unakutana na Mgole shop hakika utapenda namna mchanganyiko wa bidhaa ulivyo yakinishwa na zenye kuvutia.Ndani ya Mgole shop sio tu wanasifika kwa uhuzaji vitu vizuri,kikubwa zaidi ni unafuu wa bei na ubora wa bidhaa.
Senene jamani sijui wananini ndani yake?!..kama alivyo kutwa huyo Dada na camera ya bukobawadau amemaliza kununua akaomba nyongeza akapew,Ajabu akaokota ata wale wawili waliodondoka chini.Kwa siku ya leo kiasi kama hicho kwenye mfuko ni Tsh 500.