Bukobawadau

Camera yetu mtaani

Wadau pichani ni Mama Saloom akiwa katika shughuli zake za kila siku,Picha ya juu ni Eunice Rwangisa(mama hassan) mtoto wa Mzee Samweli Ntambara Rwangisa kwa wale wanaofatilia asa vipindi vya channel five mmeona uwepo wa familia hiyo.
Rainbow fashion ndio duka la Eunice Rwangisa kama linavyo onekana ni maarufu saana kwa uhuzaji mavazi ya heshima ni yenye ubora.
Next Post Previous Post
Bukobawadau