Changamoto kadha wa kadha kwa Kilaini......?!!!
Mjini bukoba leo hii ujenzi wa kanisa la kikatoliki bado unaendelea.
Changamoto iliyoko mbele ya Askofu msaidizi Kilaini ni kuhakikisha kwamba, anatumia ubunifu, utajiri na mang'amuzi mapana ya kichungaji aliyo nayo kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya Jimbo Katoliki la Bukoba. Majukumu haya yanakwenda sanjari na kudumisha uhusiano mwema kati ya Serikali na Kanisa. by mc