Hapa na pale na Camera yetu leo hii
Mara kwa mara wadau wengi upenda kutembelea Mghahawa wa Dollas,uliopo bukoba mjini kwa maswala ya misosi,madikodiko nakadhalika.Pichani ni Ndg Mwinyi akiwa tayari yupo safi(kamili).
Picha mbalimbali katika mitaa ya Bukoba mjini kama unavyo jionea wadau katika pita pita na hekaheka za hapa na pale.
Pichani anaonekana Mdau Abbas Amiry Roshen(Guda wa guda)akiwa anatafakari jambo.Ni mtu wa kipekee watu wengi umfananisha Abbas na Gattuso.