Bukobawadau

JUMAPILI YA LEO NDANI YA SPICE BEACH MOTEL

Kwa mabli kabisa mandhari ya spice beach motel inavyo onekana jioni ya leo.
Mandhari ya ziwa victoria kama inavyonekana katika picha maeneo ya spice beach


Shangwe zaidi ndani ya spice beach kama wanavyonekana wadau.

Kama kawaida yake DJ SLAY hakuwa nyuma kuwapa burudani wadau ndani ya spice beach.
Next Post Previous Post
Bukobawadau