Bukobawadau

Miss Muleba apatikana ni Daisy Apondi ni Msomi wa Chuo kikuu..

Pichani ni Mh.Ibrahim Maburuki akimpa shavu msanii wa nyumbani.
Namna uhalisia wa mambo yalivyokuwa Miss Muleba.
Said Bunduki Ndani ya Nyumba.
Upande wa ulinzi ilikuwa ni mwendo huu.(picha na habari by mc)
Mgeni wa heshima ndg Hassan Milanga akifungua shughuli rasmi.
Usiku huo na kila tukio lilirushwa live na 88.5 kasibante fm radio na kama unavyo mwona Mc Emmanuel Mbaule amejipanga vyema kuwapa wadau hili na lile.
Sehemu ya wadau katika ufatiliaji
Pichani ni Dj cool Mc (Blogger bukobawadau)akifatilia tukio zima ili apate cha kukusimlia kwa dhati.
Hao ndio majaji wakifatilia kwa umakini kabisa kuakikisha haki inatendeka pasipo kuchakachua matokeo.
Unamwona katikati Mgeni rasmi Mr Hassan Milanga,kushoto kwake ni Dr Mabula doctar mkuu wilaya ya Mleba.na upande wa kulia ni manager wa NMB Bank tawi la Mleba Mr Sololoka.
Msanii bk sunday akifanya kusababisha
Upande wa mashine,alikuwepo Dj Slay kwa mtambo akitoa swagar zenye uwakika na kuakikisha kila drop anayo tupa inaendana na mwendo wa kimiss, hama kwa hakika kazi yake iliwavutia wengi (picha na habari by).
Mdau Mr Rweyemamu wa Jr Petrol statio ambao niwadhamini wakubwa wa Miss Muleba mwingine ni Blogger wa bukoba wadau Mc Baraka(dj cool Mc) katikati na kushoto ni manager wa Las Vegas hotel
Majaji picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Mleba Miss Daisy Apondi,na msindi wa pili Miss Dolse Elias na mshindi wa tatu Miss Merna George.
Pichani ni wadau Mr Robart na Mr Said Bunduki
Next Post Previous Post
Bukobawadau