Bukobawadau

Pita pita mtaani leo ni ndani ya G-Smart Boutique

Pichani ni ndg Gilbart George ni Mkurugenzi wa G Smart boutique kama alivyo kutwa na camera yetu mezani kwake.
Ni mwonekano wa aitem mbalimbali unazo weza kuzipata kwa bei poooawa kabisa ndani G smart Boutique.Wapo barabara ya Arusha nje ya soko kuu mjini bukoba



PITAPITA MTAANI CAMERA YA WADAU YAKUTANA NA VIJANA WATATA!!!!
Pichani ni Kelvin Odella Ojwambo(DJ's Rwabizi club)
Pichani wa kwanza ni Ramadhan Contakinte,Andrew,Barry,Benny Bennisho na Elick Mringa kama walivyo naswa na camera yetu
pichani ni ndg Hashim Mgula.Kijiweni akipata khahawa na kusikilizi radio.

Wadau katika harakati za hapa na pale anaonekani Ndg Mwesi(Raia wa Gaza) na swaiba yake Ponjoro.
Next Post Previous Post
Bukobawadau