Bukobawadau

Yalio jiri Miss Mleba kwa mkutasari!!!!!

Warembo katika show ya ufunguzi,kumsaka miss mleba Tamasha lililofanyika jana jumamosi tarehe 11.6 2011 katika ukumbi wa waisuka night club.
wakati walimbwende(wanyange) wakiendelea kupita jukwaani kwa mavazi mbalimbali,camera yetu iliangazia upande wa wadau ili kupata uhalisia wa shughuli nzima usiku wa jana,kama unavyo weza kujionea namna wadau walivyo kuwa wanafuatilia tukio zima kwa umakini kabisa ile hali wakionyesha kuvutiwa na kupendezewa na kile kilichokuwa kinaendelea.
Miss Melna george ambaye ni mshindi wa pili hapo akijaribu kuonyesha kipaji chake na hapo akibanjuka na wimbo wa coming to my room.
Wakati yote yakiendelea ilifika zamu ya msanii wa nymbani kutumbuiza pamoja na mengi yaliojitokeza ila kiukweli msanii (Bk sunday) alifanya noma ile mbayaaaaaaaaa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau