HAPA NA PALE LEO NI:heka heka za saba saba Bukoba-Dar
Mdau mkubwa wa Blog ya Bukobawadau ndugu Julius Lubega nae alikuwepo ndani ya viwanja vya sabasaba kuhakikisha Bukoba wadau tunapata Habari za kina.
Hali halisi unaweza kupima na ukagundua ni nini namaanisha kwa mkutasari
Hivi ndivyo Camera ya bukoba wadau ilivyo jaribu kuangaza pande hizo za Dar es Salaam na kugundua umahiri wa wafanya biashara na wadau kiujumla na hali ya ulinzi ikiwa salama tofauti na hapa bukoba kama ninavyo kuonyesha kwenye picha zinazo fuata.
PITA PITA ZA SABASABA MJINI BUKOBA
Maonyesho ya sabasaba kwa mjini bukoba yamefanyika kwenye Jengo hili la CCM.
Wadau wa kampuni ya vodafone nao wapo katika kuakikisha mteja wao anapata kile anacho kistahili
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa purukushani kwenye jengo la CCM mjini bukoba. .