Bukobawadau

MDAU AFUNGUA KITUO CHA MAFUTA!!!!!Ni Rajesh Pater..

Mwonekano wa jengo la Ofisi.
Ukiwa unaitafuta Katoma barabara kuu ya Kyaka -Mtukura ni takribani kilomita 3 ndipo kilipo Kituo cha mafuta yenye ubora pasipo kuchakachuliwa kijulikanacho kama Mwendo wa saa.Eneo hilo linaitwa Kyakailabwa kama inavyo jidhihilisha katika picha.
Pichani ni Mkurugenzi wa "Najim spare parts" na "Mwendo wa saa petrol station"Ndg Rajeh Pater kama alivyo kutwa na Camera yetu akiwa katika mojawapo ya usimamizi wa Shughuli zake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau