Bukobawadau

MRISHO NGASA KATIKA MAJARIBIO NA TIMU YA SEATTLE SOUNDERS YA MAREKANI DHIDI YA MASHETANI WEKUNDU MAN U.MAN U ILISHINDA GOLI 7 KWA NUNGWE




Wiki iliyopita, Mtanzania Mrisho Ngassa alishuka dimbani kulisakata kambumbu kati ya timu anakofanyiwa majaribio, Seattle Sounders ya Marekani, pale ilipocheza mchezo wa kirafiki na timu ya Manchester United ya Uingereza.Kwa wale ambao hawakubahatika kupata fursa ya kumwona kijana MRISHO NGASSA akidundadunda uwanjani na akina Rio Ferdinand BUKOBAWADAU tumewaletea dakika kumi na tano za mwisho pale mrisho ngassa alipoingia uwanjani na kuonyesha makeke yake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau