Bukobawadau

Hapa na Pale na Camera yetuuuuu.....!!!!!!!!.

kikosi cha timu ya kata ya Kitendaguro kilicho kabiliana na timu ya Kibeta siku ya jana kwenye michuano ya kombe la Selewi.
Kikosi cha timu ya kibeta kilicho ingia na Mzungu uwanjani na alionyesha uwezo mkubwa saana.
Mwanadada shabiki wa mpira akionyesha dalili za utulivu na kufatilia soka
Ghafla hata mie mc sikuweza kujua ni nn asa kimemsibu mrembo huyu nilishangaa kaisha kuwa kwenye sakata la ugomvi kama unavyo jionea ktk picha hii.


CAMERA YETU MOJA KWA MOJA IMEFIKA KWENYE MAONYESO YA SABASABA YANAYO ENDELEA KWENYE JENGO LA CCM MJINI BUKOBA,KIKUBWA NI WINGI WA WATOTO KIASI NASHINDWA KUELEWA NI NINI TARGET NA MAONYESHO AYAJAHUSISHA MAKAMPUNI MENGI KAMA SIKU ZOTE
Baadhi ya vijana na watoto wa shule wakifatilia burudani kwenye maonyesho ya sabasaba.

Promotion ya kampuni ya simu za mikononi ya tigo ipo pale kwa ajiri ya kufikisha huduma kwa wateja na kijitangaza zaidi yote hayo ni pamoja na burudani za hapa na pale

Wadau wakiendeleza libeneke ,hili ni moja wapo ya banda la nguo kma unavyo mwona kijana Makubeli akijinadi kwa ubora wa bidhaa alizonazo.
Mdau DS naye yupo pale kwa kuonyesha ubora wa kazi yake.
Ndiyo nikagundua picha na style vinaendana.
Next Post Previous Post
Bukobawadau