PITA PITA MITAANI, JUMAPILI YA LEO MAENEO YA ZIWA VICTORIA
Katika pita pita za hapa na pale za kuchukua matukio Bukobawadau ilikutana na vijana hawa hatukuweza kupata majina yao mara moja wakiomba kupigwa picha na camera yetu nasi bila hiyana tukawapiga na kutupia hewani.bukobawadau daima
Watoto kutoka katikaa mitaaa mbali mbali mjini Bukoba wakichezea mambembea kama walivyokutwa na Camera yetu.
Watoto kutoka katikaa mitaaa mbali mbali mjini Bukoba wakichezea mambembea kama walivyokutwa na Camera yetu.