PITA PITA NA CAMERA YETU NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA
Maeneo ya sokoni lango la ndizi hadi ndani camera yetu iliweza kufika na kujionea jinsi bukoba yetu ilivyobarikiwa kwa ndizi za ukweli,kama unavyojionea katika picha ndizi zimeshushwa ndani ya soko asubuhi ya leo.
Wazee wa na kati ya Bukoba sec maeneo ya Tea break hayo pia hostel za shule ya Bukoba secondary
Barabara ielekeayo Polisi,Kaitaba hadi ziwa victoria,Pembeni upande wa kulia hapo ni NSSF complex