Bukobawadau

Semina ya wadau wa NMB Tawi la Bukoba

Mheshimiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera Muhammed Babu akitoa nasaha
Director wa Dubai Electronique,maleysia furniture na United Kingdom ware house Mr Peter Raphael Mgisha


Mr Bashiru Kabyemela maarufu kama (badae)nae pia aliweza kutoa pendekezo lake.
Mr Msakanyoka mdau ni Director wa Mabira Grocery inayo patikani maneo ya stand ya Bus mjini bukoba

Pichani ni Mdau Mr Faustin Kalugendo tecnition maswala ya Pump,Generator na Pikipiki akijaribu kutoa ufafanuzi juu ya agenda.
Wadau mbalimbali walihudhulio semina hiyo iliofanyika kwenye ukumbi wa Kolping.Wakwanza kutoka kulia ni Mr Sulum Bin Said,
Ikafika wasaa wakupata chai

Ndg John Gonza mtaalam wa IT wa Kolping Sociaty Tanzania na makao makuu ya Africa yapo Bukoba.
Mr Peter Raphael Mgisha.
Mr Selfu Mkude Director peace Primary School

Mr Clemence Manyala.
Mr Alfred Matovero NMB staff

Mr Saidi Hongo NMB Staff


Mtazamo wa hotel ya Kolping<


Manager NMB tawi la bukoba Mr Mshobozi
Next Post Previous Post
Bukobawadau