Bukobawadau

UFUNGUZI KAGASHEKI CUP:Miembeni v/s Bakoba ngoma nzito!!!!!

MICHUANO YA KAGASHEKI CUP INAYOZIKUTANISHA TIMU ZA KATA 14 ZINAZOPATIKA KWENYE WILAYA YA BUKOBA MJINI IMEANZA KWA KUZIKUTANISHA TIMU ZA MIEMBENI NA BAKOBA TIMU ZENYE UKWASI,UPINZANI WA HALI YA JUU AMBAPO CLUB BINGWA ITAJINYAKULIA KITITA CHA TAKRIBANI MIL 1O ZA KITANZANIA!!!!



Mdau Mr Ernest Nyambo kulia ni Mr Sossi Nshaka wakifatilia mtanange.

Katika hili tunasema (wakubonamu Owawe)
Ni kawaida yangu mie Mc Baraka kushoto kama blogger wa bukobawadau kufika kila tukio nipate cha kukueleza wewe ndg mdau,Katikati ni mmojawapo wa wadau wakubwa Sadath Sadick (Sadath Botique)Binamu kwangu na wa mwisho ni home boy wa kitambo Man Rihad wengi mnamsoma
Kama umebahatika kuiona movie mpya inayo tesa kwa sana ukanda huu hapa ya Dunia mapito na kumshuhudia kijana anayecheza kama teja basi si mwingine ni mdau Oda man Msabaha katika picha akifatilia mtanange ukizingatia ni miembeni moja!!!!

Ni kwamba yaliyomo yamo!!!
Benchi la timu ya Bakoba
Benchi la timu ya Miembeni

Upande wa kulia utamwona Mnyalu,Ayas mdossi, Amin Uswaz,Nuru Mdau,Habib Kisauti na Mussa Calfonia hakika hao ndio wadau wa golani!!!
Hii ndio hali halisi ilivyo kuwa kwenye ufunguzi wa Kagasheki Cup Mbunge jimbo la Bukoba mjini .na picha ya mwishondio Swaggar za Mgeni wa heshima kama alivyo kutwa na camera ya wadau na mpaka mwisho wa mchezo Miembeni bao moja na Bakoba bao moja!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau