Bukobawadau

Unaambiwa hujafa ujaumbika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kijana Nguyen Duy Hai wa nchini Vietnam, hawezi kufanya kitu chochote zaidi ya kukaa chini au kujilaza kwani uvimbe kwenye mguu wake umekuwa mzito sana kiasi cha kufikia uzito wa kilo 80 hivyo kuunyanyua mguu wake ni sawa na kuzinyanyua kilo 80 toka chini..
Next Post Previous Post
Bukobawadau