Bukobawadau

Hapa na Pale Weekend hii na Camera yetu!!!

>
Wadau mbalimbali wakisikilizia kinacho pande za club linaz
Wachezaji wa kata ya Kitendaguro wakijarbu kugomea match dhidi ya Miembeni.

WADAU WAKITOA SHAVU NA CAMERA YETU NI CLUB LINAZ WEEEKND HII
Changanikeni ni sehemu yangu ya maisha>
Bilele v/s Buhembe hapo soka likiendelea
Ekyataile Omli Azam kindi!!!!!!
Kichapo cha bao 1-0 kikiwa kimewachanganya mashabiki wa Bilele kama anavyo onekana Ndg yangu Amin aliyeshika Shavu.
Mr Matete kiongozi wa Bilele,Mr Ernest kiongozi wa Bakoba na wa mwisho kulia ni Mr Mgisha kiongozi wa Kashai.

Next Post Previous Post
Bukobawadau