Bukobawadau

CHADEMA HII LEO PANDE ZA ARUSHA !!!!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.
Umati wa watu waliojitokeza kusikiliza mkutano>
Mh Mbowe akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa NMC jijini Arusha hii leo

Next Post Previous Post
Bukobawadau