Bukobawadau

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZZZ!!!!Hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kagasheki Cup iliyo kuwa ifanyike hii leo kwa kuzikutanisha timu za Bakoba na Bilele haikufanyika kwa kujitokeza mkanganyiko na sintofahamu kwa mambo ambayo mimi Binafsi uyaona ndio huhalisia wa Bukoba.Kiongozi wa soka Wilaya ya Bukoba(BUFA) Ndg Abdulmalik Tibabimale a.k.a (Kadunguda) amesimamisha hatua hiyo kwa msingi kwamba Timu ya Kata Bakoba imekiuka mashariti kwa kukataa ama kugoma kuvaa Jezi walizopewa na Mdhamini,akiongea na Bukobawadau siku moja kabla ya tarehe ya mpambano au siku ya kitendo nikiwa namaanisha jana Ndg Malik anasema:"Nimewapa onyo Bakoba na nimewaambia tunaongea sana sisi viongozi kwenye radio watu wanachukulia kawaida sa kesho msipo kuja na Jezi kati ya mpya mlozopewa msimu huu mie ntasimamia sheria na hamtaingia uwanjani"Bukobawadau katika kufatilia upande wa pili imegundua ni kweli watu yaani viongozi wa timu walipewa tarifa hizo ila kwa sababu tu ya sababu wakaamua kutokutilia maanani japo wanasema wao Bakoba wanavaa vifaa hivyo vya mdhamini Balozi kagasheki sema wao toka mwanzo hawapo kwa ajiri ya kuaribu au kumkomoa mdhmini na wanasimamia pale kwamba uwenda msimu ujao maitaji yakawa kitu kingine tofauti na Jezi ndio maana wanavaa za msimu uliopita na mdhamini wake ni huyohuyo wa msimu huu!!!!!!Ndg mdau unaweza ukaoji tatizo lipo wapi hapo au tatizo ni nini asa, pia na mwingine ataoji yote ya nini na nini asa unapo pewa hamri na kiongozi msimamizi ukakaidi kuna nini hapo unajiamini nini pia?!!!!Bukobawadau tunaomba maoni yenu wadau bila kujari masirahi ya mtu na kikubwa uwe unaelewa kinacho endelea.Na yote juu ya yote chanzo chetu pia kilimsikia Ndg abdulmalik Tibabimale akisema amewapa tarifa viongozi wa Miembeni kuwa kufikia leo saa 5 asubuhi wawe wamempelekea picha kamili za wachezaji ili kukamilisha taratibu kama zilivyofanya Kata nyingine na taratibu ndivyo zinavyotakiwa na akionyesha kuna kitu kingine kinachochochea sintofahamu hiyo kwa ndani yake amesema swala la miembeni limechukua mda sana pasipo kutekelezwa, mpaka bukobawadau tunaingia mitamboni ilikuwa bado hatujazibitisha kama Picha zimepelekwa au la!!!nakama bado ni kwa nini asa?!!Je yakitokea yaliojitokeza kati ya Bakoba na Bilele a.k.a wa hapahapa nani alaumiwe?...bukobawawadau tunaoji ni kweli viongozi wa timu mnapewa tarifa hizi au?

Next Post Previous Post
Bukobawadau