ILIVYOKUWA JANA UKO BWANJEI: Mazishi ya Baba Salome Mzee Richard Kwezi
Wanaonekana ndg wa Marehemu Richard.L.Lwezi katika hali ya uangalizi mambo mbali mbali msibani!!!
Dada Salome(mama Chui) pichani na mdogo wake picha ya juu katika hali ya majonzi ya Baba Mzazi
Baadhi ya Wazee wa Kijijini Bwanjei waliojitokeza kwenye mazishi.
Ndg Ramadhan Kambuga na Ndg Erasmus George mda mchache baada ya kufika msibani
Wakati maandalizi ya ibada yanaendelea,utaratibu wa wadau kupata chakula pia ulizingatiwa.
Unaambiwa Shibe ni mwanamalegeza
Bwana mdogo Shamte mjuu wa Marehemu na ni mtoto wa kwanza wa Salome(mama chui)
Mzee Kassim na familia yake ni sehemu ya wadau tuliokuwa nao
Mr Elnest Nyambo akiuwaga mwili wa marehemu
Hivi ndivyo ilivyo kuwa mwisho wa safari Uwahi wa marehemu Richard.L.lwezi Baba mzazi wa mdau Bi Salome.
Bukobawadau blogspot tunasema Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi.
AMEN.
Ndipo safari ya wadau kurudi mjini bukoba ikaanza