Bukobawadau

KAGASHEKI CUP;Rwamishenye-Bakoba nguvu sawa!!!!!!!!!!!!!!

Mpaka mwisho ubao wa matokeo ulisoma hivi

Shabiki mkubwa wa Bakoba mzee wa Buye Mr Byamungu akiwa mikononi mwa polisi Masala.

Mashindano haya yameingia hatua ya robo fainali sasa na bukobawadau ipo sambamba na kila hatua,kikubwa tunawaomba sana ndg wadau ushauri wetu na maoni yetu na msisite kutuletea habari na picha zenu ili tuweze kulisongesha!!!!






Next Post Previous Post
Bukobawadau