Bukobawadau

KAGERA DEVELOPMENT AND CREDIT REVOLVING FUND(KADETFU)WATEMBELEA MABWAWA YA SAMAKI MAENEO YA RWAMISHENYE ,KANAZI, KATERERO NA RUBYA KAMA WALIVYOKUTWA NA CAMERA YETU

Bwawa la samaki zilizopandwa yani vifaranga kwa jina la kitaalamu (Fingerlings)
Mwonekano wa bwawa la samaki maeneo ya kanazi kama linavyoonekana katika picha


Wafugaji wa samaki wakiandaa generator kwa ajili ya kuvuta maji kutoka kwenye bwawa kwa ajili ya kuvuna samaki
Maandalizi ya uvunaji wa samaki yakiendelea katika bwawa kama inavyoonekana katika picha wazee wa kazi wakipunguza maji katika bwawa ili waweze kuvuna samaki vizuri

uvunaji wa samaki ukiendelea kama wanavyoonekana WAZEE WA KAZI IN ACTION!!!!!

HUYU samaki ni aina ya kambale huku kwetu tunaita "NSHONZI" Baada ya kuvunwa katika bwawa.
Aina mbili za samaki zimefugwa kwenye bwawa moja kama inavyoonekana katika picha ni sato na kambale almaarufu kama "Ngege ne Nshonzi".


Samaki aina ya sato baada ya kuvunwa katika bwawa kama wanavyoonekana katika picha.

Samaki wakiwa tayari kwa kupelekwa sokoni. picha na Rehema Nuru
Next Post Previous Post
Bukobawadau