SAKATA LA SUKARI MJINI BUKOBA:Ni nani wa kutusemea?!!!!!!!!!
Hii ni barabara ya Arusha iliopo mjini bukoba inatokea kengere tatu kushuka sokoni hadi kwa mzee Baisi hali ya msongamano ilikuwa hivi kuelekea kwa Hajji Hamza sehemu pekee unayoweza kupata punguzo la bei ya sukari!!!!
Camera yetu ilikutana uso kwa uso na huyu Mdau na akasema jamaa hawauzi zaidi ya kilo mbili kwa kila mtu!!!na hapo kamaliza kununua na anachukua usafiri wake wa baiskeri maarufu kama Asecdo...
Ni hali halisi wakazi wa manispaa ya Bukoba inawalazimu kuamka alfajiri kuwahi foleni ili wapate huduma ya sukari,ambayo imepanda sana mtahani.>