BALIMI FC Katika kumbukumbu 84-87(Mdau unakumbuka nini ukiona vazi hili?!!)
Kwa wale wenye umri flani hivi bila shaka wanakumbuka baadhi ya vifaa vya timu ya BalimiFc 84-86
Mdau Al Amin Abdul Amin kama alivyokutwa na Camera yetu akiwa katupi Jacket la Timu ya Balimi iliyokuwa ikitamba mwanzoni mwa 80 chini ya Chama kikuu cha Wakulima Mkoani Kagera KCU.
-Hizi ni Enzi za"Karumakenge"
-Hizi ni Enzu za "Wagadi" Kweli
-Hii ni katika ufuatiliaji wa Mambo wa Bukobawadau Blogspot