Bukobawadau

HABARI NJEMA KWA WANA KAGERA:Ni ufunguzi wa Chuo kikuu hii leo 31-10-2011 St.Augustine University Of Tanzania-Bukoba Center

Viongozi wa Dini na Serikali picha ya Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Massawe na Katikati ni Mwasham Baba Askofu Nestory Timanywa.
Ufunguzi ulianza kwa Ibada maalumu.
Baba Askofu akinyunyizia Maji ya Baraka maeneo yote ya chuo.
Mwonekano wa Baadhi ya Majengo ya Chuo.
Mwasham Baba Askofu Nestory Timanywa wa Jimbo Kuu la Bukoba akikata utepe kama Ishala ya ufunguzi lasmi hii leo.
Baadhi ya Wanafunzi chuoni hapa wakiteta jambo.
Walikuwepo Viongozi wa Madhehebu mbalimbali (katikati)ni Mchungaji Bililiza wa Angilikan akisalimiana na Mdau Ndg Emmanuel Chaburuma.
Miongoni mwa wadau ni pamoja na 45 The Don,akiwa katika pitapita maeneo ya Chuo.
Magari ya Hostel moja wapo inayo toa huduma chuoni hapa.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Bukobawadau blogspot.
Next Post Previous Post
Bukobawadau