Bukobawadau

BREAKING NEWS: SENENE WAMIMINIKA MANISPAA YA BUKOBA ASUBUHI YA LEO

Muenekano wa soko la senene maeneo ya bukoba mjini watu walivosheheni kujipatia senene kwa bei poa kabisa hii nikutokana na wingi wa senene hao siku ya leo.
wauzaji wa senene ni wa kutosha kila mtu na bei yake bukobawadau tumelishuhudia hilo.
Kama unavyojionea katika picha mifuko ya senene huku kwetu tunaita KAVERO ikiwa imejaa senene tayari kwa kuuzwa.
Senene ni wa kumwaga hapa bukoba mjini siku ya leo kama una ndugu bukoba kwa nyie mlio mbali wasiliana nae haraka iwezekanavyo akutumie,akikunyima huyo sio..kwa sababu hyo mifuko midogo sh.200 tu. Haya ushindwe wewe mdau.

Wazee wa kazi in ACTION.
Hivi ndivyo ilivyokuwa asubuhi ya leo
Next Post Previous Post
Bukobawadau