CHEKA NA BUKOBAWADAU.
MAMBO YA WAIFU NA HASBENDI
mwanamke mmoja alikuwa anampenda sana mumewe,siku moja mwanaume alikuwa anaenda chooni mkewe akampa radio aende nayo ili asiboreke huko chooni.
Alivyotoka chooni mazungumzo yalikua hivi..
MKE. Vipi mme wangu umeenjoy eeh...
MME. Hata sijaenjoy si wakaniwekea wimbo wa taifa, nimekunya huku nimesimama.................
BIBI HUYU HATARI!!!!!!!
Kutokana na wimbi la ujambazi lilolutukumba,jambazi mmoja alifanikiwa kuteka watu watatu, wote walikuwa wanawake,wasichana wawili na mbibi mmoja,yule jambazi hakufanikiwa kupata chochote, akawaambia kwa kuwa hamna kitu adhabu yenu ntawabaka mmoja baada ya mwingine...wale wasichana wawili wakamwambia tunaomba basi utubake sie wawili lakini bibi yetu umuwache, bibi akadakia akisema...adhabu ni kwa wote kudadadeki na mimi lazima niadhibiwe!!.