CRDB BANK KAGERA WASHEHEREKEA FAMILY DAY UFUKWENI MWA ZIWA VICTORIA JUMAPILI HII.
Wafanyakazi wa CRDB Kagera na Familia zao.
Meneja wa crdb tawi la bukoba ndug Chaburuma kushoto,akiserebuka kwaito pembeni ni Mr.Kamara.
Ndugu mosha katika pozi la kucheza Ruuumba!!!!
Hichi sio kiduku, hapa ilikua inachezwa TWIST kama walivyokutwa na camera yetu Mdau Kamara akiserebuka na shangazi yake.
katkika sherehe hiyo kulikuwepo na michezo mbali mbali kama unavyojionea katika picha mchezo wa kulenga goli.
Mashindano ya watoto kucheza kiduku yalikuepo kama unavyojionea katika picha
Mchezo wa kujaza maji kwenye chupa Ndg.jose wa kwanza kulia ndiye aliyeibuka mshindi.
Bi happy na kamara katika nyuso za furaha.
Hii ilikua ligi ya kunywa kilaji.ndugu mathias wa kwanza kushoto ndiye aliyeibuka mshindi,alitumia sekunde 20 kumaliza bia aina ya kilimanjaro.
Meneja wa CRDB tawi la bukoba NDG.Chaburuma akiwa katika ligi ya kupanga matunda aina ya apple bila mafanikio.
MR. nshunju na Mr bukagire nao wa kijaribu kupanga matunda bila mafanikio
Ligi ikiendelea kati ya Ndg. Revocatus na Bi Ritha.
Mama na mwana,Bi happy na mtoto wake Prince, mtoto prince anaiambia camera yetu "you cant see me"!!!
Mda wa kutoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa CRDB tawi la bukoba meneja NDG. chaburuma aliendesha zoezi hilo
MR.Nshunju wa kwanza kulia akipokea zawadi ya mfanyakazi bora katikati ni Mrs Nshunju.
Rashidi shehe katikati naye aliramba zawadi ya mfanyakazi bora
Mchezo wa kuvuta kamba kwa upande wa akina dada ilikua full shngwe.
Kwa upande wa wanaume mchezo wa kuvuta kamba ulikua hivi
Ndg shirima meneja wa tawi la CRDB karagwe nae alikuwepo.
Mr.mtunzi kushoto akiwa na bi happy katika pozi