HAPA NA PALE NA CAMERA YETU:Ni Kaka Mkuu katika pitapita zake Mkoani Tanga
Kaka Mkuu katika pitapita zake Mkoani Tanga akutana na dada yake mpendwa ambae pia ni mdau mkubwa wa Bukobawadau blogspot pia aliwahi kuishi kikazi mkoani Kagera sio mwingine ni dada Merry Lazaro aka Merry Maria(kadanke B)!!
Bukobawadau tunatoa shukrani kwako Dada Maria kwa kuitembelea blog yetu mara kwa mara pia shukrani za kipekee kwako Kaka Mkuu kwa ushirikiano wako mkubwa katika kuendeleza libeneke hili.
Bukobawadau tunatoa shukrani kwako Dada Maria kwa kuitembelea blog yetu mara kwa mara pia shukrani za kipekee kwako Kaka Mkuu kwa ushirikiano wako mkubwa katika kuendeleza libeneke hili.