Bukobawadau

KIJIJI NI BUTELANKUZI -(NYAKABANGA) WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI WADAU WASHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU

Wadau walio jitokeza kijiji cha Butelankuzi- Nyakabanga kusherekea Miaka 50 ya uhuru, Sherehe hizi zinafanyika kila kijiji
Wazee wa kijijini hapo na waheshimiwa wakiwa meza kuu
Pichani ni Katibu uchumu na fedha wa CCM wilaya ya Bukoba Vijijini Ndg Novatus rwechungura Nkwama akiwahutubia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru ni sherehe ya Ngazi ya Kijiji Cha Butelankuzi Nyakabanga
Wawindaji wakisherekea kwa kuimba na kucheza na mnyama waliye mkamata aitwae Ndululu.
Hii ni Leo 2-11-2011 katika kusherekea Miaka 50 ya uhuru.
Next Post Previous Post
Bukobawadau