Bukobawadau

MAANDALIZI YA MTIHANI WA DARASA LA NNE KESHO;Wanafunzi wa Shule ya Amani wapelekwa Picnic Kujifurahisha...!

Bus la Shule ya Aman iliopo manispaa ya bukoba ikiwa imeegeshwa maeneo ya Ufukwe wa Bunena.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi wa kifurahi na Camera yetu.
Hii ni mbinu moja wapo ya kuwaandaa wanafunzi vizuri kukabiliana na mtihani

Furaha,michezo na burudani ni sehemu ya marifa.

Bukobawadau tunawatakia wanafunzi wote wa darasa la nne Tanzania nzima ufanisi mwema katika mtihani wao kwani wao ndiyo taifa la kesho.
Next Post Previous Post
Bukobawadau