Bukobawadau

MDAU ERICK KIMASHA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, BALOZI HAMISI SUEDI KAGASHEKI KUJADILI JUU YA MAENDELEO YA VIJANA WA BUKOBA MJINI.

Kama unavyojionea katika picha mdau NDG.Erick Kimasha katika picha ya pamoja na MH.Balozi Hamisi Suedi Kagasheki Naibu Waziri wa mambo ya ndani walipokutana kujadili mustakabari wa jimbo la bukoba mjini.
Mada ililikuwa ni kujadili jinsi ya kuwasaidia vijana wa Bukoba mjini wainuke kiuchumi,na kuwasaidia waweze kupata Ajira.
Bukobawadau tunaungana na MH.Hamisi Suedi Kagasheki na NDG.Erick Kimasha kwa kuliona hilo na kulifanyia kazi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau