Bukobawadau

SENENE WAFURIKA LEO ASUBUHI BARABARA ZAFUNGWA KWA MUDA KUPISHA UUZAJI WA SENENE

SENENE USIPO WAWEKA KWENYE CHANDARUA UKOSA PUMZI NA KUARIBIKA KABLA ATA YA MDA
HALI HII INAWASHANGAZA ATA WAUZAJI SENENE NI WENGI SANA NA BEI IMEPOLOMOKA
BUKOBAWADAU TUMEFANYA MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA NA MDAU DENIS SOKOMOKO (KUSHOTO )NA AMESEMA WATU KIUKWELI HAWANA PESA HIVYO KIJIWE KIMEDODA...WAWEZA KUONA VIDEO YETU HAPO JUU
KIASI CHA MFUKO MWEUSI HAPO PICHANI UKIJAZWA NI SH 1000/=
DORO KUBWA KWA MDAU HASHIMU (KOROKORO)
MWANAMAMA HUYU AMEONEKANA AKIPIGA DEBE JUU YA SENENE WAKE....
NI BUKOBAWADAU BLOGSPOT KATIKA MATUKIO YA KILA SIKU UKANDA HUU
WASILIANA NASI KWA HABARI NA MATUKIO YOYOTE KUPITIA SIMU ZETU
HAPO JUU NA EMAIL YETU.
KAMA UNAVYOJIONEA KATIKA PICHA HAPA NI MAENEO YA SOKONI SENENE WAMEMIMINIKA HAIJAWAHI TOKEA
PALIKUA HAPATOSHI KILA MTU ALIKUA BUSY NA KUTAFTA SENENE.
DOGO IN ACTION.....HUYU DOGO NAE ETI ALIKUA ANAUZA SENENE.
MUONEKANO WA SOKO LA SENENE.
SENENE SIKU YA LEO BEI YAKE ILIKUA IMESHUKA SANA, KIGANJA ILIKUA NI SH.100/= KWA SH.50/= NI MATUMAINI YANGU LEO UCHUMI UMEPANDA KWA WANA BUKOBA.
SENENE SIKU YA LEO NI WENGI MNO.

NA sir.loom INC
Next Post Previous Post
Bukobawadau