SHANGWE NYUMBANI KWA MDAU ALLAN MUGISHA aka Allan wo Mulunji!!!
Mdau Siraj ,Mdau George na Uncle Kelly Tom CTO
Mdau Allan Gulleme awaambie wana Bk kuwa nipo tena Bk,nawapenda sana maana na nyie ni wenyeji wazuri kwangu mlinipokea vzr,tumeishi vizuri na sasa nipo tena kuendeleza mahusiano na upendo kwa kila rika,jinsia bila kubagua rangi wala dini,
Pichana Mdau Mr Allan katika hali ya furaha uku maisha yakiendelea pamoja na wadau wenzake hapo Nyumbani Kwake
Pichani ni Mzee Kelvin wa Space Beach Motel naye pia alikuwepo.
Mdau mwenzetu kwa lugha ya kiblogger tunaweza kusema palikuwa hapatoshi.
Katikati ni Swahiba mkubwa wa Allan ,Mr Yusuph Wastara wa Mwisho ni dj young Sley wa 88.5 Kasibante Fm Radio
Wanaumoja kwa pamoja kutoka kushoto ni Mr& mrs Matovelo,Mdau Kaka Mkuu,Mkurugenzi kwa jina tunalihifadhi,Dada Lilian Peter na mdau Said Bunduki.
Chini ni Manywele aka Mwali na Maua Ramadhan
Kijana mtata Alex na wadau wengine.
Mr&mrs Matovelo
Watu walikula na kunywa camera yetu ni shuhuda.
Mda wa burudani palichimbika
Watu wakicheza na kujigalagaza
Wadau wa Bukoba na Maeneo ya Jirani waliwakilisha vyema Nyumbani kwa Allan
Kwa mbali Mama Rose akisugua kisigino.
Watu kiukweli walisebeneka ile mbayaaaaa!!!!!
Kwa mapana zaidi Camera yetu ilizidi kuagaza kila meza kama unavyo jionea.
Hivi ndivyo shughuli ilivyo kuwa nyumbani kwa mdauAllan Gulleme aka Allan wo Murunji (muzuriii..)
Bukobawadau tunakupa pongezi Ndg Allan na tunakukaribisha sana kwa ujio mwingine
Libeneke ndio kwanza limeanza.