Bukobawadau

Ugumu wa biashara kwenye manispaa yetu ya Bukoba....!!!!

Mzunguko wa biashara mkoani kwetu kwa mwezi huu umekuwa mgumu sn,kipimo ni kijana huyu matata katika kusaka noti akiwa amechapa usingizi mida ya mchana,mida ya biashara ila wateja wamepotea.

Tunaendelea kusema subira yavuta kheri,wacha tuone
Next Post Previous Post
Bukobawadau